VUGU VUGU MOMBASA YAONGOZA MAANDAMO.
. ( Picha ya waandamanaji ) Kundi la vugu vugu Mombasa pamoja na wananchi, wameongoza maandamano ya Ili kuwasilisha matakwa wanayoyasema kuwa ya utetezi wa haki kwa wananchi Mombasa kwake gavana Abdulswamad Shariff Nassir . Picha ya Michael Nato akihojiwa Kwenye mahojiano na wanahabari,msemaji wao mkuu bwana Michael Nato, ameiponda serikali ya kaunti kwa kuingilia mipango ya wafadhili wanaowasaidia wananchi haswa kwenye maswala ya afya . . ( Picha ya hoja zilizowasilishwa Kwa gavana ) Akizidi kuzungumza, ameyataja maandamano Hayo Kuwa ya kilio Cha wananchi wa mombasa ambao wanaozidi kuumia wakati wafadhili wanapigwa vita haswa kipindi cha wakati mgumu. . ( Picha ya hoja zilizowasilishwa kwa gavana ) Kwenye kuwasilisha hoja, Nato amezungungumzia haki za wafadhili na kutaka she...