Posts

Showing posts from January, 2023

MASTAR WA DESTINY WASHINDA KWENYE CHANGAMWE TALENT SEARCH

Image
    Picha vijana Wa destiny wakipewa kombe Yamekuwa ni mashindano Makali yaliyoandaliwa na Mbunge wa Changamwe Mheshimiwa Omar Mwinyi   Shimbwa lengo likiwa ni kuinua Sanaa na kuwaleta Pamoja walio na talanta Tofauti Ili kuwatambua  na kuwapa fursa wenye vipaji kwenye eneo bunge hilo. Changamwe Talent Search ilitangulizwa na mchujo kwenye wadi tofauti ikiwemo: Changamwe,Chaani ,Kipevu, Airport na Portritze ambapo washindi wawili Kila wadi waliteuliwa kwenye fainali  kumenyana na wenzao  bomu stadium. Mazoezi yamekuwa ya uangalifu mno pale waandalizi wakuu walishirikiana na vitengo tofauti Vya Sanaa : Kusakata , kuigiza ,Shairi ,na Kuimba Ili kuhakikisha Kila mwaniaji Yupo kwenye Njia sawa na atazifwata sheria zinazostahili .      picha ya vijana wa kundi destiny  Vijana Wa destiny international home of Talents Muda Huu Wamekuwa wakitia Bidii kwenye mazoezi huku wakijuwa mtaka Cha mvunguni sharti ainame.Wameku...