Posts

Showing posts from August, 2023

HOSSANA AJIPANGA VIKALI DHIDI AHARUB SUPER CUP

Image
   ( Picha ya Hossana akipepeta mpira) Diwani wa wadi ya chaani eneobunge la changamwe - Mombasa, Franklin Hossana makanga aliteua  timu ya chaani FC combined kupitia michuano ya kirafiki ili kuwakilisha wadi hiyo kwenye  ligi ya Aharub Super Cup. .    (Picha ya Hossana Pamoja na wachezaji       Kabla Mchuano ) Michuano hiyo ilishirikisha timu hatari ambazo ni Blue Rangers FC , chaani youth na wazito FC ,timu ambazo zilimenyana ili kupata wachezaji bora ambao waliijumuishwa kuwa kikosi kimoja cha wadi hiyo . Aharub Super Cup ,ni ligi inayopangiwa kuanza mnamo tarehe tisa mwezi ujao na kuchezwa kwa miezi miwili mfulululizo Hadi kumalizika.Ligi hii itashirikisha  wadi zote katika kaunti ya mombasa kwenye michuano mikali kwa mathumni ya kuinua talanta mashinani na kuwawezesha wachezaji  kupata fursa ya kung'aa. .   (  Picha ya wazito fc) Timu hizi za wadi, zimewekwa kwa makund...

MAQDIS FC NDIO MABINGWA RABAI TALENT CUP

Image
.   Picha ya wachezaji wakimenyana. ( Maqdis ni Wenye jezi nyeupe na kaptura nyeusi na power ni yenye jezi nyekundu na kaptura ya kijani.) Maqdis fc wameibuka mabingwa wa fainali  ya Rabai Talent cup , baada ya kuinyuka timu  ya Power United mabao 3-2 katika uwanja wa Mgalla wadi ya rabai kisurutuni Katika eneo bunge la Rabai Kaunti ya Kilifi.   (  Picha ya Kamoti Junior Mwenye shati nyeupe akikagua wachezaji) Michuano hiyo Iliandaliwa na Kamoti Saburi maarufu  Kamoti Junior kwa ajili ya kuwaleta vijana pamoja na kuinua vipaji vyao vya soka, timu 32 zilishiriki michuano hiyo.    (picha mchezaji Wa power akichapa mkwaju wa ikabu) Kwenye fainali hiyo vijana wa timu ya   Maqdis walionyesha ujasiri baada ya kutoka nyuma na kuchukua ubingwa dhidi ya miamba Power United waliotangulia kuliona lango dakika za mwanzo wa kipindi cha kwanza.  Timu ya Maqdis imeweza kutwaa taji hilo kupitia mkwaju...

BARUA KWA RAIS

Image
. Picha ya kundi la Voice of Mombasa movement. Kundi la VUGU VUGU mombasa  likiongozwa na msemaji mkuu bwana Michael Nato ambaye aliwania kiti Cha udiwani katika wadi ya chaani -changamwe  pamoja na viongozi wengine,wamehutubia wanahabari kwa malengo yakumfikishia Rais William Ruto matakwa yao yanayohusu mgao wa nyadhifa katika serikali. Bwana Michael Nato   akizungumza, amepongeza juhudi anazozifanya Rais kwa kusema kuwa  anazidi kuafikia malengo alioahidi wakenya kipindi cha kampeni . Pia, amemsihi Rais kuweza kuwakumbuka viongozi waliokosa kufua dafu kwenye kinyang'anyiro cha kampeni mwaka uliopita  hii ni ikiwemo madiwani waliowania katika kiti cha UDA ,Bwana Isaac Malila aliyewania kiti cha ubunge Changamwe,  Bi. Selina Maithya aliyekuwa mpenzi mwenza ( Running mate ) w aliyewania kiti cha gavana mombasa ambaye kwa sasa ni  mbunge wa afrika mashariki Hassan Sarai Ili atimize kama  walivyokuwa wameagana kip...