POLISI WANASA BANGI CHANGAMWE
Mlanguzi sugu wa dawa za kulevya kwa Jina maarufu (Mama Irene) amefumaniwa na maafisa wa polisi katika kaunti ndogo ya changamwe eneo la dunga unuse kisha kutoweka kupitia mlango wa nyuma wa duka lake baada ya kupatikana na misokoto kadhaa ya bangi ambayo dhamana yake ni takriban shilingi elfu sitini.
. (Picha ya misokoto ya bangi)
Hili limetokea baada ya uchunguzi mkali uliotekelezwa na maafisa wa polisi walioshiriakiana na raia Ili kufikia eneo lake la biashara .
(Picha ya misokoto ya bangi kwenye duka la mlanguzi)
Mkuu wa oparesheni hiyo, ambaye ni ACC wa changamwe bwana Nicholas Kaito ameeleza jinsi mlanguzi huyo alivyoponea tundu la sindano baada ya kutoweka ila msako mkali wa kumtafuta unaendelea.
( Bwana ACC Akiwa na Mmoja Wa wanunuzi)
Pia , ametangaza onyo kali kwa walanguzi wa mihadarati wanao jificha mitaani pamoja na kuwaomba wananchi wazidi kusaidiana na maafisa usalama ili wakomeshe walanguzi hawa.
(Picha Chifu Wa Changamwe Bwana Kombo akifichua misokoto ya bangi )
Waliochangia kwenye juhudi hizo pia ni ikiwemo Chifu Wa Chaani (Ben Valasa),chifu wa changamwe (Farajal kombo) ,mdogo wa chifu chaani (Everyne Matee),mdogo wa chifu Hamisi (Susan Akothna )mdogo wa chifu migadini (Chrispine Ojijo).
© AKILINYINGI
#MOMBASA
Noma hiyo
ReplyDeletekazi safi bro
Shukran sana
DeleteInformative
DeleteHeh!
ReplyDeleteMambo imechemka
ReplyDeleteKazi nzuri hongera bro
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteKazi safii
ReplyDeleteHongera Kwa kazi nzuri
ReplyDeleteBlog safi
ReplyDeleteHer days were numbered.
ReplyDeleteKazi nzuri akhuii
✌🏾
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteHongera kwa kazi nzuri
ReplyDeleteNapenda ulivyoipanga kazi yako
ReplyDeleteGood work 💯
ReplyDeleteBangi dawa, watulize nyege.
ReplyDeleteNakala Safi🏁
ReplyDeleteVizuri sana.
ReplyDeleteYessss
ReplyDeleteHongera mkuu👍🏾
ReplyDeleteLazima vijana waache mihadarati
ReplyDeleteWe not fight corruption let her hustle for her family...Bangi ni dawa
ReplyDeleteGood job cuzo keep up
ReplyDeleteOutstanding experience
ReplyDeleteWeeee sisemi kitu
ReplyDelete