POLISI WANASA BANGI CHANGAMWE





 (Picha ya misokoto ya bangi ikiwasilishwa kituo Cha Polisi)

Mlanguzi sugu wa dawa za kulevya kwa Jina maarufu (Mama Irene) amefumaniwa na maafisa wa polisi katika kaunti ndogo ya changamwe eneo la dunga unuse kisha kutoweka kupitia mlango wa nyuma wa duka lake baada ya kupatikana na misokoto kadhaa ya bangi ambayo dhamana yake ni takriban shilingi elfu sitini.

. (Picha ya misokoto ya bangi)



Hili limetokea baada ya uchunguzi mkali uliotekelezwa na maafisa wa polisi walioshiriakiana na raia Ili kufikia eneo lake la biashara .


 (Picha ya misokoto ya bangi kwenye duka la mlanguzi)

Mkuu wa oparesheni hiyo, ambaye ni ACC wa changamwe bwana Nicholas Kaito ameeleza jinsi mlanguzi huyo alivyoponea tundu la sindano baada ya kutoweka ila msako mkali wa kumtafuta unaendelea.


  ( Bwana ACC Akiwa na Mmoja Wa wanunuzi)

Pia , ametangaza onyo kali kwa walanguzi wa mihadarati wanao jificha mitaani pamoja na kuwaomba wananchi wazidi kusaidiana na maafisa usalama ili wakomeshe walanguzi hawa.


(Picha Chifu Wa Changamwe Bwana Kombo akifichua misokoto ya bangi )

Waliochangia kwenye juhudi hizo pia ni ikiwemo Chifu Wa Chaani (Ben Valasa),chifu wa changamwe (Farajal kombo) ,mdogo wa chifu chaani (Everyne Matee),mdogo wa chifu Hamisi (Susan Akothna )mdogo wa chifu migadini (Chrispine Ojijo).



© AKILINYINGI
  #MOMBASA 

Comments

  1. Noma hiyo
    kazi safi bro

    ReplyDelete
  2. Mambo imechemka

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri hongera bro

    ReplyDelete
  4. Hongera Kwa kazi nzuri

    ReplyDelete
  5. Her days were numbered.

    Kazi nzuri akhuii

    ReplyDelete
  6. Napenda ulivyoipanga kazi yako

    ReplyDelete
  7. Hongera mkuu👍🏾

    ReplyDelete
  8. Lazima vijana waache mihadarati

    ReplyDelete
  9. We not fight corruption let her hustle for her family...Bangi ni dawa

    ReplyDelete
  10. Good job cuzo keep up

    ReplyDelete
  11. Outstanding experience

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

VIJANA KAZINI

EPZ CHANGAMWE YAFUTA WAFANYIKAZI GHAFLA.