VUGU VUGU MOMBASA YATISHIA SERIKALI YA KAUNTI KWA KUZUILIA UFADHILI.

Kundi la vugu vugu Mombasa limeandaa Mkutano Wa wanahabari Katika Hospitali kuu ya makadara Siku ya Leo lengo lao kuu likiwa kuangazia swala linalohadhiri jamii kwa sababu ya hatua ya serikali ya kaunti ya mombasa kuzuia ufadhili Wa mombasa cement kuwasaidia wananchi haswa wanapolemewa na madeni kwenye hospitali hiyo.



Msemaji mkuu  Bwana Michael Nato Amemkashifu vikali Gavana wa kaunti hiyo Abdulswamad Nassir kwa kusema kuwa ni unyama kupinga hatua ya msaada uliokuwa ukiwashika mkono sana wakaazi wengi wenye kipato cha chini haswa kwenye maswala ya Malipo hospitalini humo . Akiuliza,Nato ametaka kujuwa ni sera ipi kaunti imetumia Ili kuhafikia kuzuia ufadhili na pia ni nia Gani wanayopania Kwa mwananchi...?


Mmoja Wa wahadhiriwa amesimulia jinsi alivyokatishwa tamaa Wakati alifiwa na Mamake mzazi na Wakati anatafuta msaada Wa Malipo ya hospitali Akapata Barua ya usimamizi Wa mfadhili Mombasa cement Jambo lililomfanya kuhangaika Sana Ili Kulipa deni.

.    Mwenyekiti Wa UDA Mombasa Bwana Kitaka pia amezidi kupinga vikali sawala Hilo na kutangaza maandamo iwapo Ufadhili Kutoka Kwa Mombasa cement hautarudishwa Ndani ya wiki Moja .



Akilinyingi
Mombasa 



Comments

  1. Sasa mtu na pesa bado pia zakera watu dunia buana

    ReplyDelete
  2. Mungu akubariki NATO mtetezi wa wanyonge

    ReplyDelete
  3. Kila mtu apate haki yake katika jamii

    ReplyDelete
  4. I think it's high time we speak up as Kenyans and know our right bana hatuezi malizwa na uchumi na tuzimwe na gharama za hospitalini mambo haya yanasababisha kero sana natamahi serikali itabadili Hali hii Kwa manufaa ya mwananch aliteuliwa kutazamia maslahi yeti so kutuharibia jamani ,tuwe na utu yarabi

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

VIJANA KAZINI

POLISI WANASA BANGI CHANGAMWE

EPZ CHANGAMWE YAFUTA WAFANYIKAZI GHAFLA.