FIKRA ZA KICHAWI

 Tunajivunia Nchi Yenye Mandhari,Raslimali na Wananchi Wenye Bidii Na Maona Ya Juu Kwa Sana Lakini vyote Hivi vinageuka Kuwa Maini Chungu ,Hasira ,Fujo na ubaguzi Wa Kikabila Pamoja na tabaka Kwa Sababu ya Hawa vigogo wasimamizi tunaowaita "Viongozi "

Uongozi hasa kwenye Uwanja Wa Siasa ni Jambo la utata ambalo hujaa Uongo, Chuki na Hata kumwaga Damu Kwa Kiwango Cha Ajabu Labda Niseme Hata kutoana Kafara.

Wanasiasa Wengi Nchini wametamalaki kwenye Akili zetu na Hata kumiliki nyoyo Zetu Kuifanya Damu kuchemka Kila tunapomsikia raia mwenzetu akimzungumzia Kiongozi aliye wako.

Ikumbukwe nchii hii mnamo Mwaka Elfu Mbili na Saba Damu ilitapakaa Kila mahali ,Mali kuaribiwa na Hata makabila kuchukiana Swala Hatari Zaidi lilisobabisha maelfu ya Watu Swala Kuu likuwa Hawa Viongozi Wetu.

Jamani kwani kumpenda Kiongozi Wako Kuna msukumo upi unaolenga Mpaka kumchukia Jirani Yako Mnagombana Chumvi Kila Siku...? Hapo Mimi Akili nyingi Nakosa Jibu .

Kilichofichika Nikuwa Hawa Wanasiasa Mchana Huwa Wapo vitamin ila ifikapo Usiku Wapo Kwenye Meza Moja huku Sisi kina rai tunauguza majeraha na Hata Kukosa malazi ,Shibe na Afya Nzuri..

Niruhusu Niseme Hivi Kuwa na mrengo Wa mwanasiasa Fulani kusikufanye Uwe na Uamuzi Wa unyama na Kuanza kuwaona Wenzako Kuwa Wanyama.Ni Vizuri mara nyingi Tuwe wenye hikma ya Hali ya Juu na Kutumia ubongo ipasavyo tunapojitosa kwenye ulingo Wa Siasa .Sote Tuonane kama Ndugu na tujiunge Pamoja Kujiendeleza Nchi 

#fikrazakichawi

#akilinyingi.

Comments

  1. Fikra za kichawi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Š

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akili nono ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

      Delete
    2. Good article bro the truth

      Delete
    3. Good ๐Ÿ‘ work Mr akili nyingi

      Delete
  2. Replies
    1. ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

      Delete
  3. Ukweli mtupu siasa si la kututenganisha

    ReplyDelete
  4. Mawazo ya kishirikina au sio๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ubunifu uliokomaa aisee๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

    ReplyDelete
  5. As a person who has run for office I made an astonishing observation, our politics is not issue based it's all about us vs them, it depends with how you define "us" whether in the sense of tribe, party or area. if witchcraft is sadism where you get and the other misses, or you both miss but never both of you benefiting then it's true our politics is a classic display of evil, to the advantage of the most wicked of a politician.

    ReplyDelete
  6. Shida yetu ni hawa viongozi....akili kip it up

    ReplyDelete
  7. Achana na siasa bana. ..
    Ukiweka kwa roho utaumia heri uiweke Kwa lungs ukipiga chafya inatoka ...
    Usiumize mwenzako juu ya mwanasiasa. ..

    ReplyDelete
  8. No better time to put this out there. Kazi nzuri๐Ÿ‘๐Ÿ‘

    ReplyDelete
  9. ๐Ÿ™๐Ÿ™like it

    ReplyDelete
  10. Siasa ya Kenya ......story nzuri

    ReplyDelete
  11. ๐Ÿ‘๐Ÿ‘

    ReplyDelete
  12. Congrats brother, Mungu azidi kukuonekania๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

    ReplyDelete
  13. Kaziii safiiiiiii ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏhats off ๐Ÿ‘

    ReplyDelete
  14. Apa ni akili nyingi imetumika kama tunavyokutambua

    ReplyDelete
  15. Big up naipenda kazi yako๐Ÿ™๐Ÿ”ฅ

    ReplyDelete
  16. Kudoz rafiki ๐Ÿ‘# Keziah Ndunge

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

VIJANA KAZINI

POLISI WANASA BANGI CHANGAMWE

EPZ CHANGAMWE YAFUTA WAFANYIKAZI GHAFLA.