FIKRA ZA KICHAWI
Tunajivunia Nchi Yenye Mandhari,Raslimali na Wananchi Wenye Bidii Na Maona Ya Juu Kwa Sana Lakini vyote Hivi vinageuka Kuwa Maini Chungu ,Hasira ,Fujo na ubaguzi Wa Kikabila Pamoja na tabaka Kwa Sababu ya Hawa vigogo wasimamizi tunaowaita "Viongozi "
Uongozi hasa kwenye Uwanja Wa Siasa ni Jambo la utata ambalo hujaa Uongo, Chuki na Hata kumwaga Damu Kwa Kiwango Cha Ajabu Labda Niseme Hata kutoana Kafara.
Wanasiasa Wengi Nchini wametamalaki kwenye Akili zetu na Hata kumiliki nyoyo Zetu Kuifanya Damu kuchemka Kila tunapomsikia raia mwenzetu akimzungumzia Kiongozi aliye wako.
Ikumbukwe nchii hii mnamo Mwaka Elfu Mbili na Saba Damu ilitapakaa Kila mahali ,Mali kuaribiwa na Hata makabila kuchukiana Swala Hatari Zaidi lilisobabisha maelfu ya Watu Swala Kuu likuwa Hawa Viongozi Wetu.
Jamani kwani kumpenda Kiongozi Wako Kuna msukumo upi unaolenga Mpaka kumchukia Jirani Yako Mnagombana Chumvi Kila Siku...? Hapo Mimi Akili nyingi Nakosa Jibu .
Kilichofichika Nikuwa Hawa Wanasiasa Mchana Huwa Wapo vitamin ila ifikapo Usiku Wapo Kwenye Meza Moja huku Sisi kina rai tunauguza majeraha na Hata Kukosa malazi ,Shibe na Afya Nzuri..
Niruhusu Niseme Hivi Kuwa na mrengo Wa mwanasiasa Fulani kusikufanye Uwe na Uamuzi Wa unyama na Kuanza kuwaona Wenzako Kuwa Wanyama.Ni Vizuri mara nyingi Tuwe wenye hikma ya Hali ya Juu na Kutumia ubongo ipasavyo tunapojitosa kwenye ulingo Wa Siasa .Sote Tuonane kama Ndugu na tujiunge Pamoja Kujiendeleza Nchi
#fikrazakichawi
#akilinyingi.
Fikra za kichawi๐๐๐
ReplyDeleteAkili nono ๐๐๐๐๐
DeleteGood article bro the truth
DeleteGood ๐ work Mr akili nyingi
DeleteInteresting
ReplyDelete๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐
DeleteGreat article ๐
ReplyDelete๐ช๐ช๐ช
DeleteGreat work
ReplyDelete๐
DeleteNice work
ReplyDeleteSafi
DeleteUkweli mtupu siasa si la kututenganisha
ReplyDeleteKweli kabisa
ReplyDeleteTikisa sanaa
ReplyDeleteChigooo๐ช๐ช๐ช
DeleteSawaa
ReplyDeleteBazuuu
DeleteSheeenzi sana ๐
ReplyDeleteKazungu Sheeeeeeenzi Sana ❌๐
DeleteSheenziii
ReplyDeleteFikra za Kichawi
DeleteFikra za Kichawi
DeleteKweli kabisaa ๐ฏ
ReplyDeleteSafi
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteMawazo ya kishirikina au sio๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ ubunifu uliokomaa aisee๐ฅ๐ฅ
ReplyDeleteKweli kabisa
ReplyDeleteKazi safi
Great
ReplyDeleteGreat Knowledge ๐ฅ
ReplyDeleteNice one bro
ReplyDeleteAs a person who has run for office I made an astonishing observation, our politics is not issue based it's all about us vs them, it depends with how you define "us" whether in the sense of tribe, party or area. if witchcraft is sadism where you get and the other misses, or you both miss but never both of you benefiting then it's true our politics is a classic display of evil, to the advantage of the most wicked of a politician.
ReplyDeleteShida yetu ni hawa viongozi....akili kip it up
ReplyDeleteAkili nyingi๐ฅ๐
ReplyDeleteBro naona mambo swafi
ReplyDeleteMakala mazuri sana๐ฅ
ReplyDeleteMr writer good work
ReplyDeleteKweli kabisa๐
ReplyDeleteAusio..top adi toppest๐ฅ
ReplyDeleteKweli
ReplyDeletePure truth
ReplyDelete๐ช๐ช
DeleteSafi
ReplyDeleteGood
ReplyDeleteAchana na siasa bana. ..
ReplyDeleteUkiweka kwa roho utaumia heri uiweke Kwa lungs ukipiga chafya inatoka ...
Usiumize mwenzako juu ya mwanasiasa. ..
Banae
DeleteNo better time to put this out there. Kazi nzuri๐๐
ReplyDeleteKweli kabisa
ReplyDeleteKazi Safi
ReplyDeleteNzuri sana
ReplyDeleteNyc
ReplyDelete๐๐like it
ReplyDeleteKweli kabisa
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteSiasa ya Kenya ......story nzuri
ReplyDelete๐๐
ReplyDelete๐๐๐
ReplyDeleteKazi safiiii
ReplyDeleteGreat bro
ReplyDelete๐
ReplyDeleteGood work kiongozi
ReplyDeleteKazi swafi
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteNakala nzuri.
ReplyDeleteAkili Panaa My brother... Congrats
ReplyDeleteCongrats brother, Mungu azidi kukuonekania๐๐๐๐
ReplyDeleteVeeeery nice my guy
ReplyDeleteKaziii safiiiiiii ๐ฏ๐ฏ๐ฏ๐ฏhats off ๐
ReplyDeleteAkili nyingi congrat
ReplyDeleteBig up bro๐ช
ReplyDeleteKazi safi๐
ReplyDeleteApa ni akili nyingi imetumika kama tunavyokutambua
ReplyDeleteNakala safi sana
ReplyDeleteBig up naipenda kazi yako๐๐ฅ
ReplyDeleteKudoz rafiki ๐# Keziah Ndunge
ReplyDeleteKazi nzurii
ReplyDeletenyc
ReplyDelete