MAPENZI SHIKAMOO VYUONI
Kwenye zama za wazee wetu mapenzi yalidhihirishwa kwa njia kuu sana na kubebwa ghali kama hata ilivyoandikwa kwenye bukrata takatifu.wazee wetu wangeweza kuwapenda wapenzi wao penzi la dhati au tuseme lile penzi tunaloliskia la romeo and Juliet.
Enzi hizi za karne ya ishirini na mbili inashangaza sana mapenzi yakiwa kama silaha ya chuki, kuumizana na hata kutoana roho kwasababu zisizoeleweka .
Tukizamia Kwa umri Wa mabarobaro vijana haswa walioko kwenye vyuo vikuu wamejipata kwenye tabu ya bahari hii ya mateso iitwayo mapenzi.Sijui mimi Akili nyingi labda sifahamu mapenzi ni nini lakini jinsi wengi wanavyobakia hoi inashangaza sana.
Vijana wanaanza kwa kuwa na mazoea kama njia moja ya kufahamiana tu alafu kwa kipindi kifupi kunazuka uhusiano mkubwa Wa mtu kutopata Usingizi asipimuona au kuzungumza na Mwenzake nafkiri tunajua fika mazoea yana tabu.
Ghafla tu kupitia mitandao ya kisasa wapenzi wengi wanapata mpaka fursa za kujianika wazi wazi ili kudhihirisha hadharani fulani ni wangu na mimi ni wake hiki ndo kipindi cha kuwekana moyoni.
Lakini utakubaliani nami ama ukatae kuwa halua hii tamu hugeuka kuwa shubiri kwa mambo tata ama vizingiti ikiwemo ibilisi pesa ,kutotosheleka kimwili, ulafi wa kuwa na watu wengi ama tabia za kiajabu tunazoita ukware.
Hatua kama hii kwa hawa jamaa vyuo vikuu huwapiga chini baada ya mpenzi wa fulani kuona mapenzi ya kina fulani yananawiri kwa labda kutoana mitoko ,sherehe na hata kununuliana "surprise".
Kwenye vichwa vya habari ni mara nyingi tumeskia na Kuona vijana wengi walio jitosa penzini wakijitoa uhai wengine wakiacha kabisa kupenda na Wengine Hata kuhamisha mapenzi yao Kwa jinsia moja walio.kama ni wa kike anabakie kupenda wanawake tu na kama wakiume anaanza kuvutiwa na wanaume wenzake.
Hapa ndipo unapata Wazazi wanasubiria wajukuu Kwa hamu Bahati Mbaya wanapatana na makuu....
Niruhusu niseme hivi,kabla hatujajitosa kwenye ulimwengu huu wa mapenzi ni vizuri tujiandae kupata Ushauri Hata angalau kutoka kwa wazee wetu na kujipanga jinsi ya kukabiliana na vikwazo tunavyopata safarini .
Uamuzi wetu ndio muhimu kwa sana kwenye maisha na tujizatiti Sana tusijotoa suluhu ya Kutoa uhau au kujiunga na mambo hayapendezi jamii.
Nafkiri mtaniwia radhi labda nikiibua kikwazo ila nipe ruhusa nitilie kokomo
#Akili nyingi
#Fikra za Kichawi
Kwa hakika maamuzi yetu ni muhimu sana kwa haya maisha
ReplyDeleteMkono wa dhahabu, vidole vya almasi akilini fikra chanya, unaweza Sana, Kazi kuntu, kongole kwa kutupa ilhamu ili tupate ufahamu, hongera kwa Kazi nzuri.
DeleteNaam kaka umenena ùkweli mtupu
DeleteUkweli mtupu
ReplyDeleteNimeipenda
ReplyDeleteKazi Safi Bro
ReplyDeleteAlhamdullilah kiswahili nayo daah
ReplyDeleteGwiji wa lugha
ReplyDeleteCreativity 💯💯
ReplyDeleteKweli kabisa
ReplyDeleteKazi safi✍️🔥🔥
ReplyDeleteSadakta kakangu.
ReplyDeleteMakala mazuri.
Hongera na kongole kwa kazi nzuri.
Shukran
DeleteKazi nzuri sana
ReplyDeleteHongera
Kiswahili kitukuzwe
ReplyDelete#Akili nyingi
Msingi mkuu wa mahusiano ni mawasiliano ya kumsikiliza na kumuelewa kwanza mwenzako kabla ya wewe kueleweka.
ReplyDeleteGood job imeweza
ReplyDeleteKeziah Ndunge# good job rafiki, i thnk u are good author 😊
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi imekamilika
ReplyDeleteMbele kwema
ReplyDelete@mcsenturians
Ahsante kwa Malala haya mtu na Akili zake Akili nyingi, lakini Kuna jambo kuhusu kutokwa roho kimapenzi na kuingiwa na shetani ya mapenzi ya jinsia Moja, pengine je Kuna utafiti wowote wa kisayansi una dhibitisha Hilo dai lako. Na pia zama za kale kulikua na huu uchafu wote, umalaya, usaliti etc fikra yako kwamba watu wa kale walikua wamenyooka Ina Msingi upi kihistoria.
ReplyDeleteMkuu wangu Wa Ushauri Bwana Nato Mwenyewe 🙏🙏🙏🙏🙏
DeleteNice one
ReplyDeleteHii n true broo . keep up
ReplyDeleteBoom daad akili nyingi kweli
ReplyDeleteKazi safi kaka
ReplyDeleteKiswahili ndo lugha ya mapenzi ❤️💯
#Akili mingi
Delete👏👏👏
ReplyDeleteMapenzi shkamoo 🙌😅
ReplyDeletenkubali broo noma sna iyo
ReplyDeleteAkili nyingi🔥🔥
ReplyDeleteMapenzi hayana mwenyewe heri vijana tuulizie mawaidha kabla ya kuingia katika Mapenzi kwa sababu wengi tunajitia kwa shida kwa sababu ya kuingia tu. ..
ReplyDelete💯
ReplyDeleteAkili Nyingi na busara🤞
ReplyDeleteKAZI SAFI
ReplyDeleteNakala nzuri.
ReplyDeleteOla mwoto mbona🔥🔥🔥🔥
ReplyDeleteKazi nzuriii nduguu
ReplyDeletePongezi bro kazi nzuri
ReplyDeleteKazi kuntu...eenyeewe mapenzi kwio😂😂😂
ReplyDeleteKwenda Zako Kumbe Ndo Maana Ulinikataa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
DeleteUkweli kabisa💯💯
ReplyDeletegood article
ReplyDeleteMzitoo
ReplyDeleteSwadakta kakangu
ReplyDeleteGreat Article 😊
ReplyDeleteNakala safi kaka 👏👏👏
ReplyDeleteKweli kabisaa 💯
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi mzuri Akili Nyingi
ReplyDeleteKeep it up bro
ReplyDeleteTrue
ReplyDeleteKazi Safi rafiki
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi safi kak
ReplyDeleteNakala nzuri
ReplyDeleteAkili nyingi wewe ni mkweli kabisa bazuu nakutambua
ReplyDeleteNice... This is a very good article,, keep it up Mzee😂
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi Nzuri 👌
ReplyDeletenice
ReplyDeleteUkweli mtupu kazi nzuri broooo
ReplyDeleteUkweli mtupu kakangu... Hongera
ReplyDeleteYou are talented 👌
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi nzuri.
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteHongera kinara.
ReplyDelete