MAWINGU YA LAANA
Mara nyingi tunafahamu fika mawingu yakitanda angani huwa ni mvua ipo tayari kunyea ishara ya baraka lakini hili limegeuka kinaya!.
kwa zaidi ya misimu minne ardhi yetu imekuwa ikishuhudia kiangazi kikali kisichodhibitika kwa hali ya kushangaza au labda tuseme mkosi mbaya .
Kulingana na utafiti wa wanasayansi limetajwa swala la kuchafuka kwa anga kwa mambo tunayoyafanya sisi binadamu ikiwemo utumizi wa kemikali sumu,ukataji miti na uchafuzi wa mazingira na mengineo mambo yanayosababisha kuvuja kwa miale mikali ya jua inayopasua ardhi na kuiacha nchi kavu.
Hapa nchini zipo sehemu zenye hatari hii kubwa ikiwemo ; Garissa, Isiolo, Kajiado, Kitui, Mandera, Marsabit, Laikipia, Samburu, Tana River, Turkana, na wajir
Utafiti umebaini kuwa zaidi ya raia milioni nne nukta moja wanaoishi kwenye sehemu hizi wamehadhirika pakubwa na janga hili lA ukame ikiwemo ukosa mlo ,Maji ya uhai na hata mifugo yao kudhoofika kukosa dhamani na kufariki swala linalotikisa taifa nzima kwa Sasa .Hivi umewahi kuskia ng'ombe akishuka bei mpaka kiasi cha kuuzwa Shilingi mia tano?, msomaji wangu nafahamu kuwa hili halikuingii akilini lakini hapa ndipo hali imefikia sijui niseme labda ni nuksi kwenye maisha au nikipigo kutoka kwa Maulana...? Aiseee,Akili nyingi nawaza na kusikitika.
Mzigo wa kupanda kwa gharama ya maisha ukiwa begani ukame nao unatupa micharazo kwa kupungua kwa mazao ya shambani tunayotegemea kama nchi huku mvua ikisusia kunyesha kama inayotarajiwa ! ,ni swala tata .
Serikali imechukulia pakubwa jukumu hili zito kuhakikisha angalau raia wanapata ukombozi kutoka kwenye lindi hili baada ya mtukufu rais wa jamuhuri ya kenya William Ruto pamoja na mashirika mengine kuanza shughli ya kusambaza shehena ya chakula cha msaada kwenye sehemu zilizoathirika ili kuleta afueni heko.
Najua msomaji wangu mpendwa upo kwenye taharuki kwa hili lakini mimi Akili nyingi ningependa tusaidiane kwa kubuni njia mbadala za kupambana na jinamizi hili.Ndio upo mradi umetolewa na serikali wa maswala ya upanzi wa miti zaidi ya bilioni moja kwa kipindi fulani lakini mbona tusubirie amri na ilhali ni Jukumu letu kushirikiana kutenda hili...?
Je,Unafikiria ni mbinu hii pekee inayoitajika..? Nafkiri kazi ipo.
Kabla sijamwaga wino ningeomba walio na imani wazidi kutia dua kwasana ili angalau Subaha Ntrehemezi atuwezeshe na atunyeshee mvua ya mavuno ili kudhibiti njaa na ukame.
jambo hili ni letu sote na pamoja tutadhibiti ukame.
#Fikra za Kichawi
#Akili nyingi
#Mombasa
Kila Hatua Dua π―π
ReplyDeleteKazi mufti kongole
DeleteKazi swafi kaka
DeleteNice work yohana
DeleteKazi safi kaka
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteSwafe Kaka, Hongera!
ReplyDeleteNice work ❤️
ReplyDeleteSuch a great publishment there looking forward to seeing you do much better than this... Congratulations
ReplyDeleteYaelimisha
ReplyDeleteKazi nzuri. Mola akuzidishie maarifa, hekima na nguvu unazohitaji katika kazi yako.
ReplyDeleteKazi Safi
ReplyDeleteKazi safii kaka
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi mzuri bro
DeleteKazi Nzuri
ReplyDeleteNice. Article
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteπ₯π₯π₯
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteSadakta kakangu. Makala haya yanapendeza. Heko, hongera na kongole kinara! ππ
ReplyDeleteNice article π₯°
ReplyDeleteGood job
ReplyDeleteSafi
ReplyDeleteπ₯π₯
ReplyDeleteGood work π
ReplyDeleteThis is an art of education... With this kind of work I'm sure we know where we are heading as a nation
ReplyDelete#Akilinyingiblogspot
Hongera
ReplyDeleteLegit article ππ
ReplyDeleteKubwaaa
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeletePerfect work
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteGood article
ReplyDeleteNakala nzuri.
ReplyDeleteSafi kijana
ReplyDeletenice article
ReplyDeleteInagusa moyo sana nakala Safi hii
ReplyDeleteNice bro
ReplyDeleteKeep up the work...π₯π₯
ReplyDeleteGreat work
ReplyDeleteArticle Iko fiti nduguu ✊
ReplyDeleteSure
ReplyDeleteWell articulated
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteThe article is awesome… but it’s a sad story for kenya
ReplyDeleteSafi π₯
ReplyDeleteGood job π
ReplyDeleteKweli fikira za kichawi hizi...Kazi safiπ€π€
ReplyDeleteKweli
ReplyDeleteWow
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteAm inspired!
ReplyDeleteKazi safi Akili Nyingi
ReplyDeleteBravo
ReplyDeleteMkali wa hizi kazi
ReplyDeleteKazi njema
ReplyDeleteUmeyasuka makala haya yakasukika kwa kuoanisha fani na maudhui kwa umahiri wa aina yake.Heko na hongera kakangu.
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteKazi ya kueleweka
ReplyDeleteContinue with the same spirit my friend ππ
ReplyDeleteKazi safi,,,,mola akuzidishie hekima
ReplyDelete