VUGU VUGU MOMBASA YAONGOZA MAANDAMO.
Kundi la vugu vugu Mombasa pamoja na wananchi, wameongoza maandamano ya Ili kuwasilisha matakwa wanayoyasema kuwa ya utetezi wa haki kwa wananchi Mombasa kwake gavana Abdulswamad Shariff Nassir
Kwenye mahojiano na wanahabari,msemaji wao mkuu bwana Michael Nato, ameiponda serikali ya kaunti kwa kuingilia mipango ya wafadhili wanaowasaidia wananchi haswa kwenye maswala ya afya .
Akizidi kuzungumza, ameyataja maandamano Hayo Kuwa ya kilio Cha wananchi wa mombasa ambao wanaozidi kuumia wakati wafadhili wanapigwa vita haswa kipindi cha wakati mgumu.
Kwenye kuwasilisha hoja, Nato amezungungumzia haki za wafadhili na kutaka sheria zinazowazuia kuwasaidia wananchi ziweze kuondolewa rasmi.
Pia, ameitaka serikali ya kaunti kufwata mkondo wa katiba Ili kufanya maamuzi ya haki kupitia njia ya kuwahusisha wananchi ili kuhafikia njia mwafaka kabla ya kupitisha sheria.
Amezidi kuzungumzia mikakati itekelezwe katika hospitali za serikali ili kusitokee maswala ya ufujaji wa hela kama serikali inavyosema.
Mwenyekiti Wa Chama hicho Bwana John Walele amemtaka gavana ajihusishe na wananchi haswa kwenye hospitali ya makadara Ili apate kujuwa mambo wanayopitia wananchi .
Hili limetiwa makali na mwananchi mmoja aliyekuwa na hamaki huku akilalama jinsi amepitia wakati mgumu kwenye maswala ya kulipa deni la hospitali wakati mfadhili mkuu mombasa cement alipozuiliwa kutoa ufadhili.
©Akilinyingi
Zetukreatives
Mombasa
Ripoti njema.Sadakta.
ReplyDeleteAbsolutely, a gorgeous article.
DeleteOutstanding experience indeed
ReplyDeleteCounty inatulet down mbaya sana
ReplyDeleteWea r we going..God help us .God help KENYA
ReplyDeleteHongera
ReplyDeleteSerikali imeoza toka juu hadi chini. Ain't surprised at all!
ReplyDeleteKazi Safi Broman🏁
ReplyDeletekazi clean man
ReplyDeleteHongera bwana Walele twataka viogozi kama wewe
ReplyDeleteTh majority wth no sense of humour support th governor 😢😢😢😢Nato keep it up
ReplyDeleteI still don't get why they hinder aid ...sad to see even Mombasa cement being shoved off when its willing....
ReplyDeleteKazi yako swadakta kaka
ReplyDelete