VUGU VUGU MOMBASA YAONGOZA MAANDAMO.

.      (Picha ya waandamanaji )
Kundi la vugu vugu Mombasa pamoja na wananchi, wameongoza maandamano ya Ili kuwasilisha matakwa wanayoyasema kuwa ya utetezi wa haki kwa wananchi Mombasa kwake gavana   Abdulswamad Shariff Nassir
.      Picha ya Michael Nato akihojiwa 
Kwenye mahojiano na wanahabari,msemaji wao mkuu bwana Michael Nato, ameiponda serikali ya kaunti kwa kuingilia mipango ya wafadhili wanaowasaidia wananchi haswa kwenye maswala ya afya .
.     (Picha ya hoja zilizowasilishwa Kwa              gavana )
Akizidi kuzungumza, ameyataja maandamano Hayo Kuwa ya kilio Cha wananchi wa mombasa ambao wanaozidi kuumia wakati wafadhili wanapigwa vita haswa kipindi cha wakati mgumu.
.      (Picha ya hoja zilizowasilishwa kwa              gavana )
Kwenye kuwasilisha hoja, Nato amezungungumzia haki za wafadhili na kutaka sheria zinazowazuia kuwasaidia wananchi ziweze kuondolewa rasmi.
 Pia, ameitaka serikali ya kaunti kufwata mkondo wa katiba Ili kufanya maamuzi ya haki  kupitia njia ya kuwahusisha wananchi  ili kuhafikia njia mwafaka kabla ya kupitisha sheria.
.     (  Picha ya waandamanaji wakiwasilisha          matakwa Yao.)

Amezidi kuzungumzia mikakati itekelezwe katika hospitali za serikali ili kusitokee maswala ya ufujaji wa hela kama serikali inavyosema.

.    ( Picha ya John Walele akihutubia                   wanahabari )
Mwenyekiti Wa Chama hicho Bwana John Walele amemtaka gavana ajihusishe na wananchi haswa kwenye hospitali ya makadara Ili apate kujuwa  mambo wanayopitia  wananchi .
.    Picha ya mwananchi akihutubia                    wanahabari 
 Hili limetiwa makali na  mwananchi mmoja aliyekuwa na hamaki huku akilalama jinsi amepitia wakati mgumu kwenye maswala ya kulipa deni la hospitali wakati mfadhili mkuu mombasa cement alipozuiliwa kutoa ufadhili.
.      waandamanaji wakiingia kwenye Ofisi         ya Gavana





©Akilinyingi
 Zetukreatives
 Mombasa 
 

Comments

  1. Replies
    1. Absolutely, a gorgeous article.

      Delete
  2. Outstanding experience indeed

    ReplyDelete
  3. Wea r we going..God help us .God help KENYA

    ReplyDelete
  4. Serikali imeoza toka juu hadi chini. Ain't surprised at all!

    ReplyDelete
  5. Hongera bwana Walele twataka viogozi kama wewe

    ReplyDelete
  6. Th majority wth no sense of humour support th governor 😢😢😢😢Nato keep it up

    ReplyDelete
  7. I still don't get why they hinder aid ...sad to see even Mombasa cement being shoved off when its willing....

    ReplyDelete
  8. Kazi yako swadakta kaka

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

VIJANA KAZINI

POLISI WANASA BANGI CHANGAMWE

EPZ CHANGAMWE YAFUTA WAFANYIKAZI GHAFLA.