MSIMAMO WA VOICE OF MOMBASA
Kundi la (voice of mombasa) alamaarufu vugu vugu mombasa pamoja na wananchi Katika mahojiano yamoja kwa moja na wanahabari wamepitisha ujumbe kwa Rais Daktari William Ruto kuweza kutangamana nao atakapokuwa akidhuru mombasa.
Msemaji wao mkuu Bwana Michael Nato amemrai rais huku akimtaka atenge muda wa mazungumzo kwa viongozi waliowaniwa viti vya udiwani kwenye chama cha UDA ila hawakufua dafu.
Malengo Yao na madhumni yakiwa kutimiziwa ahadi walizoahidiwa na rais wakati wa kampeni.
Pia, kundi hili limeweza Kuonyesha kughadhabishwa mno na tukio la vurugu lililotokea GTI hapa mombasa mnamo mwezi uliopita kwenye mkutano mkubwa wa UDA uliongozwa na karani mkuu bwana CLEOPHAS MALALA.
picha ya ujumbe Kuhusu tukio Hilo
Mwenye kiti wa kundi hilo Bwana John Walele, amelitaja tukio hilo kuwa la kugawanya chama pamoja na kuonyesha utovu wa nidhamu kwake naibu wa chama Mbunge wa Afrika mashariki ( EALA 1) Hassan Sarai.
Vilevile, wamezungumzia kura za kuwania nafasi ya mwenye kiti ndani ya mombasa kwenye chama cha UDA pamoja na nafasi zingine.
©AKILINYINGI
MOMBASA
Safi sana
ReplyDeletesafi
ReplyDeleteNice 🙂
ReplyDeleteIko fine 😊
ReplyDeleteNice article bro
ReplyDeleteKudos
ReplyDelete