MSIMAMO WA VOICE OF MOMBASA



.    kundi la vugu vugu mombasa 


.    picha ya michael nato akizungumza
Kundi la (voice of mombasa) alamaarufu vugu vugu mombasa pamoja na wananchi Katika mahojiano yamoja kwa moja na wanahabari wamepitisha ujumbe kwa Rais Daktari William Ruto kuweza  kutangamana nao atakapokuwa akidhuru mombasa.
.    picha ya michael nato akizungumza 
Msemaji wao mkuu Bwana Michael Nato amemrai rais huku akimtaka atenge muda wa mazungumzo kwa viongozi waliowaniwa viti vya udiwani kwenye chama cha UDA ila hawakufua dafu.
Malengo Yao na madhumni yakiwa kutimiziwa ahadi walizoahidiwa na rais wakati wa kampeni. 

.   Picha ya Elizabeth kadzo akihutubia 
Pia, kundi hili limeweza Kuonyesha kughadhabishwa mno na tukio la vurugu lililotokea GTI hapa mombasa mnamo mwezi uliopita kwenye mkutano mkubwa wa UDA uliongozwa na karani mkuu bwana CLEOPHAS MALALA.
    picha ya ujumbe Kuhusu tukio Hilo

.   Picha ya John Walele akizungumza 
Mwenye kiti wa kundi hilo Bwana John Walele, amelitaja tukio hilo kuwa  la kugawanya chama pamoja na kuonyesha utovu wa nidhamu kwake naibu wa chama Mbunge wa Afrika mashariki ( EALA 1) Hassan Sarai.

Vilevile, wamezungumzia kura za kuwania nafasi ya mwenye kiti ndani ya mombasa kwenye chama cha UDA pamoja na nafasi zingine.

wameitaja nafasi hii kuwa ya wazi na wapo tayari kufanya kazi na kiongozi yoyote atakayetuliwa Ili kuhakikisha wanakuza chama cha UDA Kwa njia nzuri ndani ya mombasa .




©AKILINYINGI
   MOMBASA 

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

VIJANA KAZINI

POLISI WANASA BANGI CHANGAMWE

EPZ CHANGAMWE YAFUTA WAFANYIKAZI GHAFLA.